The House of Favourite Newspapers

Lupita Nyong’o avujisha Queen of Katwe

0

Lupita-Nyongo-InStyle-April-2016-Cover-Photoshoot06Lupita Nyong’o

Muuza nyago mwenye jina kubwa duniani ambaye pia ni Mshindi wa Tuzo ya Oscar, Lupita Nyong’o hivi karibuni amevujisha kupitia mitandao ya kijamii muvi mpya inayosubiriwa kwa hamu iitwayo Queen Of Katwe iliyochezewa Uganda ambayo itaachiwa rasmi Septemba mwaka huu.

“Ni furaha yangu kukuvujishia Queen Of  Katwe, kupitia muvi hii utajifunza kuwa na ndoto ni jambo la thamani sana,” aliambatanisha maandishi yaliyosomeka hivyo.

Leave A Reply