The House of Favourite Newspapers

FULL TIME VIDEO: Taifa Stars 2-0 Botswana, Uwanja wa Taifa Dar

TAZAMA VIDEO YA MABAO YOTE ALIYOTUPIA SAMATTA

Dakika 90 za mchezo kati ya Tanzania na Botswana zimemalizika uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Taifa Stars ya Tanzania imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 2-0 zidi ya Botswana, mabao yote yakifungwa na Straiker wa Kimataifa wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta kunako dakika ya 3 na 87 ya mchezo huo.


Picha zote na Mussa Mateja | Global Publishers

Comments are closed.