The House of Favourite Newspapers

M-Pawa inazidi kuwatajirisha watanzania mshindi wa pili wa milioni 20 apatikana

Meneja masoko Huduma  za kifedha wa Vodacom Tanzania ,Noel Mazoya (katikati) akiongea na mmoja wa  mshindi  wa droo ya  promosheni ya Jiongeza na M-Pawa  wakati wa hafla ya kuchezesha droo ya pili ya wiki iliyofanyika jijini Dar es Salaam ambapo mkazi wa Arusha  Isaack Pilemon alijishindia kitita cha shilingi Milioni 20. 

Wanaoshuhudia kutoka  kushoto ni Meneja  wa Huduma za M-Pawa wa Benki ya CBA Eric Luyangi  na Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha nchini Bakari Maggid.

Meneja masoko Huduma  za kifedha wa Vodacom Tanzania ,Noel Mazoya (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari namba ya  mshindi  wa droo ya  promosheni ya Jiongeza na M-Pawa wakati wa hafla ya kuchezesha droo ya pili ya wiki iliyofanyika jijini Dar es Salaam ambapo mkazi wa Arusha  Isaack Pilemon alijishindia kitita cha shilingi Milioni 20. Wanaoshuhudia kutoka  kushoto ni Meneja  wa Huduma za M-pawa wa Benki ya CBA  Eric Luyangi  na Msimamizi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha nchini Bakari Maggid. 


Waandishi wa habari wakifuatilia tukio la kuchezesha  wa droo ya  promosheni ya Jiongeza na M-Pawa   wakati wa hafla ya kuchezesha droo ya pili ya wiki iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo ambapo mkazi wa Arusha  Isaack Pilemon alijishindia kitita cha shilingi Milioni 20.

Hadi sasa  washindi 2,800 wameongezea mara mbili ya akiba zao za M-Pawa washindi 14 wameshinda milioni 1 kila mmoja na washindi 2 wamejishindia milioni 20  mshindi wa jumla washilingi milioni 100 atapatikana mwezi wa kumi.

Comments are closed.