Waziriwa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kufungua mafunzo ya siku mbili kwa wakuu wa wilaya wastaafu iliyoandaliwa na PSPF na kufanyika Agosti 15, 2016. Waziri Simbachawene alimwakilisha Rais John Magufuli. Wenine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji,Mwenyekiti wa Wakuu haoi wa Wilaya wastaafu, Ramadhan Maneno, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF, George Yambesi, na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George
Simbachawene, (kulia), Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji,
(katikati), wakionyesha fomu za kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kupitia
mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSS), mara baada ya waziri kufungua mafunzo ya
siku mbili kwa Wakuu wa Wilaya wastaafu, na Wanachama wastaafu wa Mfuko jijin
Dar es Salaam, jana Agosti 15, 2016. Wazuru alimwakilisha Rais John Magufuli
kufungua mafunzo hayo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam MayinguMtaalamu wa Saikolojia Dkt. Chris Mauki, akitoa mada juu ya kudhibiti Stress Picha ya pamoja na viongozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Picha ya pamoja ya mgeni rasmi, viongozi wa PSPF, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na kamati tendaji ya wakuu wa wilaya wastaafu Wakurugeni wa PSPF Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji, Beng’ Issa, akitoa mada juu ya fursa zilizopo za uwezeshaji kwa watanzaniaWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), George Simbachawene, (kulia), akifurahia jambo baada ya kukabidhiwa kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, (PSS), kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, George Yambesi. Waziri Simbachawene, alijiunga na Mfuko huo mara baada ya kufungua mafunzo ya siku mbili ya ujasiriamali kwa wakuu wa wilaya wastaafu na maafisa wastaafu wa serikali kwa niaba ya Rais John Magufuli jijini Dar es Salaam Agosti 15, 2016.
Dkt. Kijaji akiteta jambo na Mkuu wa wilaya mstaafu, Betty Mkwasa