MAAJABU! Afukua Kaburi la Baba Yake na Kuchukua Blanketi – Video

Kijana mwenye umri wa miaka 28 amefanya kitendo cha kuacha watu midomo wazi baada ya kufukua kaburi la baba yake mzazi na kutaka kuchukua blanketi ambalo alizikiwa nalo ili ajifunike kwa sababu alikuwa akisikia baridi sana kutokana hali ya hewa iliyopo kwa sasa.

 

Ni wapi na ilikuwaje? Fuatilia tukio hilo hapa kwa kufungua video hii!


Loading...

Toa comment