Maajabu! Mto Ambao Ukinywa Maji Yake Unazaa Mapacha – Video

Kama ulikuwa hujui Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana katika bara la Afrika, moja kati ya mikoa unaodhihirisha kuwa tumebarikiwa ni Katavi unaopatikana Nyanda za Juu Kusini ambao umejaa vivutio mbalimbali vya kushangaza ukiwemo Mto Mapacha ambao inaaminika mwanamke akinywa maji yake anazaa watoto mapacha.

 

Global TV imeweka Kambi mkoani Katavi na kwenye video hii inamuonesha mkuu wa mkoa huo, Juma Homera, akiuelezea uzuri na mazuri mengi yanayopatikana mkoani kwake.

#RCKATAVI


Loading...

Toa comment