The House of Favourite Newspapers

Waziri Ajiuzulu Kwa Kashfa ya Video ya Ngono na Mkewe

Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa South Africa, Malusi Gigaba,  amejiuzulu wadhifa wake huo kutokana na kashfa ya kuvuja kwa video ya ngono kati yake na mkewe mwezi uliopita.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais wa nchi hiyo, ombi lake limekubaliwa.

Waziri huyo aliteyeuliwa Februari mwaka huu kushika nafasi hiyo, pia ameomba radhi kwa tukio hilo alisema simu yake ilidukuliwa wakati akiwa waziri wa fedha.

 

  • ISIKUPITE: JWTZ walivyojipanga kusomba Korosho, Magari 70!!

Comments are closed.