The House of Favourite Newspapers

MAAMUZI MENGINE ALIYOFANYA RAIS MAGUFULI LEO

Rais Dkt John Magufuli ameiongezea muda wa miaka mitatu Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) iliyokuwa imalize muda wake leo Aprili 23, 2019, sasa itaendelea kufanya kazi hadi Aprili 23, 2022.

Comments are closed.