The House of Favourite Newspapers

Rais Magufuli Azindua Mradi wa Barabara ya Flyover -Tazara

1

magufulii fy (2)

Rais Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) pamoja na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida (kushoto) wakiweka jiwe la msingi kama ishara ya kuzindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Flyover -Tazara huku wakishuhudiwa na viongozi mbalimbali wa serikali.

magufulii fy (3)Rais wa John Pombe Joseph Magufuli akifungua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo.
magufulii fy (1)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.magufulii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipungia mkono wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU.
Magufuli (11)
Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida wakikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi mitambo itakayotumika katika ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Flyover -Tazara huku wakishuhudiwa na viongozi mbalimbali wa serikali.

Magufuli (1)Viongozi wa Serikali na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Uzenzi wa Barabara ya Flyover Tazara wakisubiri kumpokea rais John Pombe Magufuli.Magufuli (2)Gari lililombeba Rais John Magufuli likiwasili eneo ambalo liliandaliwa kwa ajili ya hafla hiyo wakati huo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda akijiandaa kumpokea.
Magufuli (3)Rais John Magufuli akiwasalimia wananchi waliofika kwenye hafla hiyo.
Magufuli (5)Viongozi wa Serikali na wananchi wakiimba wimbo wa Taifa.
Magufuli (9)Rais John Magufuli akihutubia.

magufulii fy (4)
Magufuli (10)Mkandarasi anayesimamia Mradi wa Ujenzi wa Tazara Flyover akieleza namna ambavyo barabara itakavyoonekana na kuisaidia jamii baada ya kukamilika ujenzi wake.

Magufuli (12)

Magufuli (13)Viongozi wakifurahia mara baada ya kuzindua mitambo itakayotumika kwenye ujenzi wa mradi huo.
Magufuli (15)Rais Magufuli katika picha ya pamoja na Mkewe, Mama Janeth Magufuli, Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida, viongozi wa serikali pamoja na wakandarasi wa mradi huo.Magufuli (16)

Rais Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam.Magufuli (17)Sehemu ya umati wa wananchi waliofika kwenye hafla hiyo.
tazaraJiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya juu (Flyover) ya Tazara.
Magufuli (7)Wakandarasi watakaojenga barabara hiyo.FLY Over (1) FLY Over (2) Kikundi cha ngoma wakitoa burudani za utangulizi.

FLY Over (4)Jukwaa kuu.FLY Over (5)Wageni waliohudhuria hafla hiyo wakichukua nafasi zao na kuketi.Magufuli (6)Brass Bendi ya Polisi  wakiwa wameketi.FLY Over (6)Brass Bendi ya Polisi wakitumbuiza.FLY Over (7)

Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan ZunguFLY Over (8)

Wakisalimiana.

HII ni taswira ya maandalizi ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Fly Over) katika makutano ya barabara Nyerere na Mandela (Flyover ya TAZARA) jijini Dar es Salaam ambapo Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi mradi huo leo Jumamosi tarehe 16 Aprili, 2016.

Flyover ya Tazara, Dar itakuwa ni barabara ya pili kwa ukubwa Afrika Mashariki baada ya Super High Way ya Kenya iliyozinduliwa mwaka 2012 iliyojengwa kwa Ushirikiano wa Benki ya Afrika na Serikali ya Kenya.

Aidha mradi wa ujenzi wa barabara za juu Flyover ya Tazara unatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba 2018 hivy kupunguza adha ya msongamano kwenye barabara hiyo kwa asilimia 80.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

1 Comment
  1. jongryl says

    shughuli za kitaifa unavyaaje nguo za chama. tujifunze kutofautisha shughuli za chama na za kitaifa

Leave A Reply