The House of Favourite Newspapers

JKT waonyesha ubabe   Kombe la Meya

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam, Issaya  Mwita akizungumza jambo katika hafla hiyo.
Mashabiki kutoka makao makuu ya JKT wakishangilia ushindi baada ya kukabidhiwa kombe lao.

 

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) wameendeleza ubabe baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wao katika mashindano ya Kombe la  Mstahiki  Meya kwa mchezo wa  Ngumi.

 

Michuano hiyo ambayo inasimamiwa na Mstahiki Meya wa Dar es Salaam, Isaya Mwita ilimalizika jana katika Uwanja wa Taifa wa Ndani na mshindi kuweza kukabidhi zawadi.

 

JKT walinafakiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kupata pointi 10 katika mchezo huo huku  mshindi wa pili akiwa ni Mzizima(Timu ya Mkoa wa Dar es Salaam) ambao walipata pointi nane na mshindi wa tatu akiwa ni Halmashauri ya Ubungo.

Comments are closed.