‘Machalii’ Wa Arusha Waandamana Baada Ya Kifo Cha Dangote – Video
Vijana wa Arusha maarufu kama Machalii au Wadudu, wameandamana wakiwa na mabango wakilaani vitendo vilivyofanywa na Ali Dangote, kijana mhalifu aliyeuawa siku kadhaa zilizopita.
Wakizungumza na Global TV, Wadudu wamesema uhalifu Arusha unapungua kwa wote wenye tabia za kihalifu kukamatwa na kufungwa jela au wengine kuuawa kama ilivyotokea kwa Dangote.