MACHOZI ya Baba: Diamond Aninunulie Nyumba, Gari ni Vitu Vidogo tu – Video

BABA mzazi wa Msanii wa Bondo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Plantnumz’, Mzee Abdul Juma amemuomba mwanaye huyo amnunulie nyumba ili aweze kuishi kwa amani tofauti na maisha anayoishi sasa hivi.

Aidha, Mzee Abdul amesema mbali na nyumba pia amsaidie mtaji ili afanye biashara huku akikataa kununuliwa gari kwa madai kwamba hivyo ni vitu vidogo vidogo ambavyo hana haraka navyo.

MSIKIE MZEE ABDUL AKIFUNGUKA

Loading...

Toa comment