Madabida Afutiwa Mashtaka ya Kusambaza ARV Feki, Akamatwa Tena

Madabida akiambatana na polisi.

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefutiwa mashtaka ya kusambaza dawa feki za kufubaza makali ya ukimwi (ARV) na kujipatia Sh milioni 148 kwa njia ya udanganyifu na kukamatwa tena.

Madabida na wenzake wamefutiwa mashtaka hayo katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, na baada ya kukamatwa atasomewa mashtaka mapya.

KUBENEA: Sinunuliki CCM, Siwezi Kuhama CHADEMA Wala Kuisaliti UBUNGO

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment