The House of Favourite Newspapers

Madee: Dogo Janja ameanza kung’aa kimataifa

0

Madee2Madee

BONIPHACE NGUMIJE

MKALI wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ ameweka wazi mipango ya msanii wake, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ kuwa tayari ameshaanza kung’aa kimataifa.

Janjaro2_NoizDogo Janja

Akilonga na mtandao wa Global Publishers, Madee alisema kuwa kwa sasa Dogo Janja anatamba na remix ya Wimbo wa My Life aliowashirikisha wakali kutoka Uganda, Radio na Weasel na kufanya hivyo njia zinaonekana kuwa wazi.

“Natarajia kumuona Janja kwenye levo nyingine baada ya kuibuka na remix ya My Life. Kwa sasa atatoka na Ngoma ya Kidede iliyofanyika MJ Records na video kushutiwa na Hanscana. Naimani njia yake itaendelea kuwa nyeupe kimataifa,” alisema Madee.

Leave A Reply