The House of Favourite Newspapers

Madonna asimamisha shoo kisa ugaidi

0

madonna-768Staa kitambo mwenye vituko kunako Muziki wa Pop,Madonna Louise Ciccone ‘Madonna’.

STAA kitambo mwenye vituko kunako Muziki wa Pop,Madonna Louise Ciccone ‘Madonna’ mwishoni mwa wiki iliyopita alilazimika kusimamisha shoo yake pande za Paris, Ufaransa kutokana na hofu ya shambulio la kigaidi lililotokea hivi karibuni na kuua watu zaidi ya 120.

Mbali na kusimamisha shoo hiyo,juzi kati pia akiwa katika shoo yakeStockholm, Sweden alisimama kwa muda katikati ya shoo na kuwaomba mashabiki wake wawaombee wale wote waliofariki na kunusurika na mashambulio hayo nchini Ufaransa.

Leave A Reply