Mafuriko Buza ni Kiboko, Utashangaa Daraja la Mbao – Video
Wakazi wa Buza kwa Mpalange katika Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam wameiomba Serikali kuwatengenezea miundombinu ya Barabara katika eneo lao kwani kutokuwa na miundombinu bora kunafanya shughuli za kiuchumi kukwama.


