The House of Favourite Newspapers

Magari Bora Mapya Mwaka 2019

 

MAGARI ni kati ya vitu vinavyoundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani;  yamekuwa yakiifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka ingawa hasa kwenye maeneo yenye barabara tu. Magari si kwa mahitaji la wanaume pekee, hata wanawake wanamiliki magari mazuri na ya kisasa kila siku.

 

Matokeo yake,  kampuni nyingi hivi sasa zimejikita katika kubuni na kuunda magari ya kisasa katika mchakato unaofika hadi mwaka huu — 2019.  Baadhi ya magari bora zaidi duniani hadi kufikia mwaka huu ni yafuatayo:

 

ASTON MARTIN AM-RB 003.

Kasi ya juu: kilomita 402 kwa saa (maili 250 kwa saa)

 

Bugatti la voiture noire

Kesi ya juu: Kilomita 420 kwa saa (Imetoka moja tu kwa mwaka 2019 na tayari imeshanunuliwa)

 

FERRARI F8 TRIBUTO

Kasi ya juu: Maili 211 kwa saa 

 

Koenigsegg Jesko

Kasi ya juu: Maili 300 kwa saa 

LAMBORGHINI HURACÁN EVO SPYDER

Kasi ya juu: Kilomita 325 kwa saa 

 

MCLAREN SPEEDTAIL

Kasi ya juu: Kilomita 402.3 kwa saa

 

MERCEDES-AMG GT R ROADSTER

Kasi ya juu: Kilomita 317 kwa saa 

 

PIËCH AUTOMOTIVE MARK ZERO

Kasi ya juu: Kilomita 250 kwa saa 

 

AUTOMOBILI PININFARINA BATTISTA

Kasi ya juu: Kilomita 250 kwa saa

 

PORSCHE 718 CAYMAN T AND THE 718 BOXSTER T

Kasi ya juu: Maili 170 kwa saa 

Comments are closed.