The House of Favourite Newspapers

MAGAZETI YA SPOTI XTRA, AMANI YAZIDI KUTIKISA MTAANI

Meneja waMasoko wa Global Publishers, Anthony Adam (kulia) akimkabidhi nailoni mmoja wa mavenda hao.

Ni uhondo wa habari na burudani kupitia gazeti lako maridhawa la michezo kwa sasa, ni Spots Xtra Alhamisi lililosheheni habari kedekede za michezo, nyumbani mpaka majuu, likiwa limedadavuriwa vyema na waandishi na wachambuzi mahiri wa habari za Michezo bila kusahau habari za burudani na michezo mingine.

Msomaji akiperuzi Spoti Xtra.

Timu ya masoko na usambazaji ya Global Publishers, jana Alhamisi ilingia tena sokoni kwa ajili ya kufanya promosheni na kugawa nailoni kwa mavenda mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake.

Wasomaji wakiperuzi Spoti Xtra na Amani.

Timu ya masoko ilifanikiwa kupita wilaya ya Kigamboni kwenye mitaa kama Mji Mwema, Kibada One, Shangwe, Kigamboni kwa Pinda, Tuangoma na Mbagala Rangi 3.

 

…Wakisoma Amani.

Haya ni baadhi ya matukio ya ugawaji wa nailoni kwa Mavenda kama inavyoonyesha kwenye matukio ya picha wakiwa na maafsa masoko wa Global Publishers.

Amani na Spoti Xtra yakiwapa burudani wasomaji.

 

Ofisa Mauzo, Charles Mponza (kulia) akiwaelekeza jambo wasomaji wa Spoti Xtra.

 

Mponza  akiwaelekeza jambo wasomaji wa Spoti Xtra.

 

Mponza akimkabidhi nailoni venda.

 

Msomaji akijiachia na Spoti Xtra.

 

Wasomaji wakifurahia habari ndani ya Spoti Xtra.

Na Mussa Mgema | Global Publishers

Comments are closed.