The House of Favourite Newspapers

MAGEREZA YAKANUSHA KIFO CHA RUGEMARILA WA ESCROW

JESHI la Magereza nchini limekanusha taarifa za kifo cha mahabusu, James Rugemarila mwenye mashitaka ya uhujumu uchumi, na kusema kwamba yuko salama kabisa.

 

Afisa Habari wa Magereza, Lucas Mboje, amesema kwamba taarifa za kifo chake ni za uzushi, na kwamba Rugemarila yuko mzima.

Comments are closed.