The House of Favourite Newspapers

Magufuli aendelea ‘kupeta’ Pwani

0

magufuli akiongea na wakazi wa Jimbo la Mchinga katka kijiji cha nangaruMgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Joseph Magufuli akiwahutubia wakazi wa Jimbo la Mchinga katika kijiji cha Nangaru.
magufuli akimpa tano mgombea ubunge wa jimbo la Mkuranga, Abdalaha Ulega alimuangusha Adam Malima kwenye kura za maoni, mkutano huo ulifanyika jimboMagufuli akimpa tano mgombea ubunge wa jimbo la Mkuranga, Abdalaha Ulega alimuangusha Adam Malima kwenye kura za maoni.Magufuli akimwaga sera kwa wakazi wa MkurangaMagufuli akimwaga sera kwa wakazi wa Mkuranga.
Adam Malima 'kushoto' akimpigia kampeni Abdalah Ulega anayegombea Jimbo lka Mkuranga badala yake

Adam Malima ‘kushoto’ akimpigia kampeni Abdalah Ulega anayegombea Jimbo la Mkuranga badala yake.
Vijana Muhoro mkoani Pwani wakimsilikiza Magufuli naliposimama barabarani hapoWakazi wa Muhoro mkoani Pwani wakimsilikiza Magufuli naliposimama barabaraniVijana wa Kibiti wakimshangilia Magufuli baada ya kumwaga sera kijijini hapoWakazi wa Kibiti wakimshangilia Magufuli baada ya kumwaga sera kijijini hapovijana wa mchinga wakimsilikiza magufuli kwa mbaali...Vijana wa Mchinga wakimsilikiza Magufuli kwa mbaali…wabibi wa Ikwilili wakimfurahia magufuliWazee wa Ikwilili wakimfurahia Magufuli.wakaz wa Kilwa Masoko wakimsiliza Magufuli kwa mbali alipokuwa akimwaga sera kwenye jimbo hiloWakazi wa Kilwa Masoko wakimsiliza Magufuli kwa mbali alipokuwa akimwaga sera kwenye jimbo hilo.wakazi wa Kijiji cha Nangaru jimbo la mchingaWakazi wa Kijiji cha Nangaru jimbo la Mchinga.wakazi wa mkuranga

Wakazi wa Mkuranga wakimsikiliza Magufuli.

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Joseph Magufuli jana aliendelea na mikutano ya kampeni zake mkoani Lindi katika maeneo ya Kijiji cha Nangaru, Jimbo la Mchinga, Mavuji, Kilwa Masoko na Marendego.

Baada ya kumaliza kampeni mkoani Lindi, Magufuli aliingia Mkoa wa Pwani ambapo alipiga kampeni katika maeneo ya Nyamwage, Ikwiriri, Kibiti, Jaribu, Kimanzichana, na kumalizia na Mkuranga ambapo mkutano huo ulihudhuliwa na umati mkubwa na kuvunja rekodi ya siku nzima licha ya mikutano iliyotangulia nayo kuhudhiliwa na maelfu ya watu.

Magufuli leo anatarajiwa kujiunga na Watanzania wengine kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere, Dar kuupokea mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Abdallah Kigoda, aliyefariki nchini India juzi alikokuwa ameenda kutibiwa.

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL ALIYEKUWA PWANI

Leave A Reply