The House of Favourite Newspapers

Magufuli aendelea na kampeni zake jijini Dar, apokelewa kwa kishindo

0

bunju

Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwasalimia baadhi ya wakazi wa mji wa Bunju jijini Dar waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo.

chalinze

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa leo.

mail moja

Wananchi wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli

(PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)

Leave A Reply