The House of Favourite Newspapers

Magufuli afunga kampeni zake Dar, kesho kuiteka Mwanza

0

magufuli akimwaga sera jangwani leo (2)

Dk. Magufuli akimwaga sera kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Jangwani leo.

JK akimnadi Magufuli (1) JK akimnadi Magufuli (2)

Mwenyekiti wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete akimnadi mgombea urais wa CCM, Dk. Magufuli leo.

JK na Magufuli wakikumbatiana

Dk. Jakaya Kikwete na Dk. Magufuli wakikumbatiana wakati wa mkutano wa leo.

Mama salma Kikwete kushoto na Mama Janeth Magufuli wakibadilisha mawazo wakat mkutano ukiendelea

Mama Salma Kikwete (kushoto) na Mama Janeth Magufuli wakibadilisha mawazo wakati mkutano ukiendelea.

JK akimnadi Jerry Slaa wa jimbo la Ukonga

JK akimnadi Jerry Silaa ambaye ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CCM.

JK akimnadi Mgombea ubunge wa Kibamba dkt Fenella Mkandalla

JK akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba (CCM), Dk. Fenella Mkangara.

MGOMBEA Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli leo amemaliza kampeni zake jijini Dar es Salaam kwa kumwaga sera zake katika Viwanja vya Jangwani kabla ya kesho kuhitimisha kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Baada ya kufunga kampeni zake hapo kesho, Dk. Magufuli ataelekea kijijini kwake huko Chato mkoani Geita kwa ajili ya kupiga kura yake keshokutwa.

(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL, JANGWANI)

Leave A Reply