The House of Favourite Newspapers

Magufuli ajinadi wilayani Biharamulo

0

akisalimia wananchi

mkutano wa biaramulo (5)

Dk. Magufuli akiwasalimia wananchi wa Biharamulo (hawapo pichani).

bihalamuro

mkutano wa biaramulo (3)

mkutano wa biaramulo (1)

Wakazi wa Biharamulo wakimsikiliza mgombea urais wa CCM, Dk. Magufuli leo.

WANACCMWana CCM Biharamulo wakicheza wakati wa mapokezi ya Dk. Magufuli.

kijiji cha kakonko (1)

Wakazi wa Kakonko mkoani Kigoma wakimkaribisha Magufuli.

kijiji cha kakonko (2)kijiji cha nakanazi

Dk. Magufuli akihutubia mkutano wa kampeni kwenye Kijiji cha Kakonko mkoani Kigoma leo.

MAGUFULU AKIMNADI MASILINGI, ENEO LA KAKONKODk. Magufuli akimnadi mgombea wa CCM eneo la Kakonko.
kijiji cha kakonkoPicha hii imenaswa na mgigapicha wetu eneo la Kakonko, Kigoma.

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli leo amemaliza ziara yake mkoani Kigoma kwa kuomba kura katika vijiji vya Kakonko, Kisanda na Buyungu kisha akaingia mkoani Kagera na
kufanya mkutano mkubwa katika Viwanja vya Biharamulo. Baada ya mkutano huo, Dk, Magufuli anatarajia kuingia wilayani Chato mkoani Geita.

(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL, BIHARAMULO)

Leave A Reply