The House of Favourite Newspapers

Magufuli Aomboleza Kifo cha Mwanafunzi wa NIT

Rais John Magufuli.

Rais John Magufuli ametoa pole kwa familia, ndugu, wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT) na wote walioguswa na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji kilichotokea Ijumaa wiki hii na ameagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hilo.

Mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji enzi za uhai wake.

Comments are closed.