Magufuli aitikisa Mwaza, haijawahi tokea!
Kutokana na msongamano mkubwa wa watu mdada huyu alikosa hewa na kuzirai.Chege na Temba wakifanya yao jukwaani.
Umati wa watu waliofika katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana wakimsikiliza Dk Magufuli.
Jamaa wakiwa kwenye Tingatinga ambalo linaashiria jina alilopewa Magufuli “Tingatinga” kwa umahiri wake wa utendaji kazi.Bibi huyu ni miongoni mwa umati mkubwa wa watu waliozikubari sera za Magufuli.
Baada ya kukoswa hewa dada huyu naye alidondoka, watu wa huduma ya kwanza wakimsaidia.
Magufuli pia aliwahidi wakazi hao kuwatengenezea reli ya ‘standard gauge’ itayoweza kuhimili mabehewa yenye mizigo mizito ambayo itakuwa kati ya Mwanza, Kigoma, Tabora, Mpanda mpaka Dar.
Magufuli aliwahidi wakazi hao kuwajengea daraja kubwa likakalounganisha kivuko cha Kigongo na Busisi ili watu na magari yapite yenyewe. Magaufuli aliwahidi wakazi hao kuifanya mwanza kuwa jiji la kibiashara na kuwa Geneva ya Afrika.
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL ALIYEKUWA MWANZA