‘Magufuli ni noma’
Mwandishi wetu
Utendaji wa Rais John Magufuli ni noma na umekuwa ukifagiliwa kila kona. Hii siyo kwa Tanzania tu bali hata sehemu nyingine duniani.
Hilo linashibishwa na sentensi fupi aliyoitoa mrembo kutoka Kenya, Sheila Mwanyiga ambaye ni mwanamuki aliyewahi kuwa mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha NTV aliyeandika kupitia ukurasa wake wa Twitter akionesha kuwa, anaukubali utendaji wa rais huyo wa wamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aliandika:’ This man huh #Magufuli… A #New Africa rises,’ (huyu mwanaume ni noma, Afrika mpya inakuja).



Comments are closed.