Maguire Aipeleka Man United kwenye raundi ya tano ya kombe la FA
Bao Harry Maguire limeipeleka Manchester United kwenye raundi ya tano ya kombe la FA kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City katika dimba la Old Trafford.
Wafungaji ni 42’ Cordova-Reid kwa upande wa Man Utd ni 69’ Zirkzee, 90+3’ Maguire