The House of Favourite Newspapers

MAIMUNA AMTWANGWA HAPPY DAUDI DAR LIVE

Mabondi Maimuna Hashimu (kulia) akipambana na Happy Daudi kwenye pambano la utangulizi usiku wa kuamkia leo  Ukumbi wa Dar Live Mbagala ambapo alimshinda Happy.
…Akimtwanga konde Happy.
Makonde ya kiendelea
Happy  akijibu mapigo.

WANAMASUMBWI wa kike, Happy Daudi na Maimuna Hashimu, usiku wa kuamkia leo walirushiana makond katika pambano la utangulizi la raundi tatu kwenye ‘Usiku wa Mwisho wa Ubishi’ uliofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala,  Dar.

Mshindi wa pambano alikuwa ni Maimuna kwa upata ushindi wa  jumla ya pointi 47 kwa 40.

HABARI NA PICHA; RICHARD BUKOSI/ISSA LIPONDA/ GPL

 

Comments are closed.