Maisha Ya Abdi Banda Kutoroka Kambi Ya Simba Na Kuzamia Afrika Kusini – Video
Global TV imefanya mahojiano maalum ‘Exclusive interview’ na nyota wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye Klabu ya Richards Bay ya Afrika Kusini, @abdibandaofficial ambaye amefunguka mengi kuhusu ishu ya kuandaliwa mkataba Simba, huku pia akimtaja nahodha wa Stars, Mbwana Samatta.