The House of Favourite Newspapers
gunners X

Maisha ya Mama Rwakatare, Kuzaliwa Mpaka Kifo – Video

0

Hii ni makala fupi inayomuelezea Mwanamke Shujaa ambaye alfajiri ya juzi aliaga dunia, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare, aliyekuwa Askofu wa kanisa la Mlima wa Moto, ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa viti maalum (CCM).

 

Mama Rwakatare ambaye amefariki dunia Aprili 20, 2020 katika Hospitali ya Rabinsia, amefanya mengi katika taifa hili, amefanya kazi ya Mungu kama mchungaji akiitangaza Injili na kuwahubiri waumini kuokoka na kumjua Mungu.

 

Licha ya hayo, alikuwa Mbunge, mfanyabiashara akimiliki shule maarufu hapa nchini za St. Mary’s.

TAZAMA SIMULIZI KAMILI YA MAISHA YAKE TANGU KUZALIWA HADI KIFO

Leave A Reply