The House of Favourite Newspapers

Majaliwa Ampa Pole Abbas Tarimba kwa Msiba wa Wanaye

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa pole, Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas, kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 16.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimpa pole, Mke wa Mkurugenzi wa Uendeshaji Sport Pesa Tanzania, Tarimba Abbas, Warda Tarimba Abbas kwa kufiwa na watoto wake wawili, Maisam na Alliazgar Tarimba Abbas, nyumbani kwake, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Comments are closed.