The House of Favourite Newspapers

Majaliwa Mgeni Rasmi Maadhimisho Miaka 21 Ya TAHLISO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 14, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 21 ya Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu, yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma