MAJERUHI WA AZAM HOI KITANDANI AZUNGUMZA – VIDEO

MAJERUHI wawili kati ya watatu walionusurika katika ajali iliyosababisha vifo vya watu saba wakiwemo watano ambao walikuwa wafanyakazi wa Azam Media Ltd, tayari wamefikishwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya matibabu zaidi.

 

Global TV imezungumza na majeruhi Artus Masawe na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Dharura, Peter Mabula, ambaye amesema mpaka sasa hali za majeruhi hao ni za kuridhisha na taratibu za matibabu zaidi zinaendelea.

TAZAMA VIDEO HII HAPA


Loading...

Toa comment