Majibu Ya Zari Kwa Diamond Platnumz

MZAZI mwenza wa mwanamuziki Diamond Platnumz,  Zari Boss Lady,  amefunguka baada ya msanii Diamond kuongea mengi kuhusu mahusiano yao yaliyopita ndani ya kituo chake cha redio cha Wasafi FM jana,  April 23, 2019.

 

Diamond alifunguka mambo mengi ikiwemo Zari kum-cheat kwenye mahusiano, kuhusiana na kutoa sapoti kwa wanaye, na mambo mengine yaliyokuwa yanawahusu walipokuwa kwenye mahusiano.

 

Majibu ya Zari yalitoka rasmi wakati Diamond akiwa live kwenye mahojiano ambayo yalikuwa yanaruka moja kwa moja  kwenye mitandao ya kijamii, radio na televisheni.

 

Zari alituma video tatu kwenye akaunti yake ya Instagram zilizokuwa na maelezo yanayosomeka:  “Sasa yale magoti mpaka Sauzi yalikuwa ya nini? Kule  kuomba msamaha kwote kwa radio kwa nini? Kwani umekuwa comedian sasa? Usinichafulie maisha bro. Yameisha zamani kubali tu. Kiki zimekuwa ngumu mjini. Niheshimu tafadhali nakulelea watoto tena vizuri”.

 

 

Video ya kwanza Zari amelalamikia kushushiwa heshima na kusema kwamba Diamond anajitetea kwa kumsingizia kwamba alikuwa na mahusiano mengine wakati bado wakiwa pamoja.

 

Povu la Zari Baada ya Diamond Platnumz kufunguka kuhusiana na mahusiano yao yaliyopita kwenye radio. #zarithebosslady #diamondplatnumz #wcb #teamzari #chibudenga #chibudangote #teamwema #hamisamobetto #tanashadonna #globalradioupdates #grnews #trending #trendy #trend

18 Likes, 0 Comments – +255 Global Radio (@255globalradio) on Instagram: “Povu la Zari Baada ya Diamond Platnumz kufunguka kuhusiana na mahusiano yao yaliyopita kwenye…”

 

2.”Usibonyeze button kwa sababu nikianza kuongea juu yako, utajificha”.  Zari amefunguka kuhusiana na Support ya watoto anayoipata kwa Diamond, kuhusu kuwa na mawasiliano na watoto, Pia Zari amesema kuwa hajaelewa inakuwaje Diamond anapata moyo wa kujiamini kwenda kwenye media na kumdhihaki kwa kumsingizia kuhusiana na mahusiano ambayo hajashiriki.

 

“Usibonyeze button kwasababu nikianza kuongea juu yako, utajificha”. Zari amefunguka kuhusiana na Support ya watoto anayoipata kwa Diamond,kuhusu kuwa na mawasiliano na watoto, Pia Zari amesema kuwa hajaelewa inakuwaje Diamond anapata moyo wa kujiamini kwenda kwenye media na kumdhihaki kwa kumsingizia kuhusiana na mahusiano ambayo hajashiriki. #zarithebosslady #diamondplatnumz #hamisamobetto #wemasepetu #teamdiamond #teamwema #tanashadonna #teamzari #teamzarimond #wcb #globalradioupdates #grnews #trending #trendy #trend

18 Likes, 1 Comments – +255 Global Radio (@255globalradio) on Instagram: “”Usibonyeze button kwasababu nikianza kuongea juu yako, utajificha”. Zari amefunguka kuhusiana na…”

 

Lingine alilofunguka Zari ni kuhusiana na mahusiano yake na Mr P wa Psquare na Personal Trainer wake, amesema kwamba, “Kama nyie watu mtaamini maneno yanayotoka mdomoni mwa mwanaume kama huyu, yule yule aliyekataa damu yake, anakimbilia kwenye radio, anafanya ziara, kama kweli mnamuamini mtu huyu basi nyie wote ni wapumbavu kama yeye.  Naomba tuheshimiane, kaa mahali ulipo, mi nipo nilipo, Mimi na watoto tupo vizuri bila wewe. Naomba tuheshimiane”.

 

Lingine alilofunguka Zari ni Kuhusiana na mahusiano yake na Mr P wa Psquare na Personal Trainer wake, amesema kwamba, “Kama nyie watu mtaamini maneno yanayotoka mdomoni mwa mwanaume kama huyu, yule yule aliyekataa damu yake, anakimbilia kwenye radio, anafanya ziara, kama kweli mnamuamini mtu huyu basi nyie wote ni wapumbavu kama yeye.Naomba tuheshimiane, kaa mahali ulipo, mi nipo nilipo, Mimi na watoto tupo vizuri bila wewe.Naomba tuheshimiane”. #zarithebosslady #diamondplatnumz #teamwema #wemasepetu #hamisamobetto #jokatemwegelo #alikiba #teamkiba #ommydimpoz #wcb #globalradioupdates #grnews #trendy #trending #trend

4 Likes, 0 Comments – +255 Global Radio (@255globalradio) on Instagram: “Lingine alilofunguka Zari ni Kuhusiana na mahusiano yake na Mr P wa Psquare na Personal Trainer…”

Loading...

Toa comment