The House of Favourite Newspapers

Majonzi! Bilionea Mufuruki Azikwa Makaburi ya Kisutu – Video

0

MWILI wa bilionea Mtanzania na Mwenyekiti mwanzilishi wa Jukwaa la Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group, Ali Mufuruki, umezikwa leo Desemba 10, 2019, katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

Mufuruki alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili ya Desemba 08, 2019, akiwa Afrika Kusini, ambapo alikuwa akipatiwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimkabili katika Hospitali ya Morningside, jijini Johannesburg.

TAZAMA MAZISHI YA MUFURUKI

Leave A Reply