The House of Favourite Newspapers

MAJONZI: Mazishi ya Kikongwe wa Miaka 140, Vilio Vyatawala! – Video

HAKIKA ni simanzi, majonzi na vilio vimetawala wakati wa mazishi ya mzee kikongwe, Siliam Goda, mwenye umri wa miaka 140.

Mzee Siliam alikuwa kivutio cha watu wengi kufuatia historia yake ya kuishi miaka mingi zaidi. Marehemu ameacha wajukuu 77, vitukuu 107 na vilembwe 9.

 

TAZAMA MAZISHI YAKE HAPA

Comments are closed.