The House of Favourite Newspapers

Makalla Afichua Siri za Mbowe, Sababu za Yeye Kutaka Kujiuzuru

.
Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu. Amos Makalla ambaye pia ni mlezi wa Mkoa wa Dar es salaam (kichama) akizungumza katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.
Amesema amemskia Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Ndugu Mbowe akisema lazima wachukue Ushindi wa Majimbo ya Kaskazini  yote na akishindwa atajiudhuru sasa nasi tumuambie na  tumemrekodi kuwa ajiandae kutoka Mana sisi tutachukua Majimbo yote ya Kaskazini na Tanzania yote Sisi sio wabaguzi tunapiga kote sio yeye anabagua najua anajiandaa na Uwenyeketi.
Na niwaambie Vyama vya Upinzani vimekosa Mvuto na Muelekeo na ndio Maana watu wao wanazidi kuja kwetu Chama cha Mapinduzi na hapa kuna Diwani wa Chama cha Chadema ataka kuja nimpokee na bado tutapiga Bomu lingine mpaka wakimbiane