Makalla Atembelea mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga one stop’ Aridhishwa kwa kazi Nzuri
“Jambo la Mwisho wapeni Ushirikiano hawa wafanyabiashara wa hapa mpakani wasikwame wanapotaka kufanya kazi na kizuri nimeambiwa kiwanda cha Nyama kinafanya kazi”.
Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla amesema hayo wakati alipotembelea mpaka wa Namanga leo wakati akiwa kwenye Ziarani Mkoani Arusha.