The House of Favourite Newspapers

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango Atembelea Banda la NMB Arusha

0
z
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akisikiliza Maelezo kutoka kwa Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Alfred Shao wakati alipotembelea Banda la NMB wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 37 Jumuia ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaoendelea jijini Arusha. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angella Kairuki, Mkuu wa Mkoa wa Arusha John   Mongela (watatu kulia) Pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Bw. Sima Constatine (wanne kulia). 
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesikiliza Maelezo kutoka kwa Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Alfred Shao wakati alipotembelea Banda la NMB wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 37 Jumuia ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaoendelea jijini Arusha.
Leave A Reply