Makamu wa Rais Kufungua Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA leo
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Philip Mpango amewasili Tabora leo Juni 6, 2023. Makamu wa Rais amewasili Mkoani Tabora kwaajili ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yanayofanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.