The House of Favourite Newspapers

Makamu wa Rais Mpango Ashiriki Misa Takatifu ya Dominika ya Pili ya Pasaka Nchini Italia

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameshiriki Misa Takatifu ya Dominika ya Pili ya Pasaka katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Rita wa Kashia, lililopo katika Mji wa Cascia nchini Italia leo tarehe 27 Aprili 2025.

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akisali mbele ya Kaburi la Mtakatifu Rita wa Kashia kabla ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya Pili ya Pasaka katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Rita wa Kashia, lililopo katika Mji wa Cascia nchini Italia leo tarehe 27 Aprili 2025.