visa

Mama Samia Suluhu Ashiriki Maadhimisho Ya Miaka 43 Ya CCM Dar

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Februari 13,2020 ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata keki wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika leo Februari 13, 2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimlisha keki Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Mama Kate Kamba wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika leo Februari 13, 2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na wasanii mbalimbali waliohudhuria kwenye Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika leo Februari 13, 2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza aliyekuwa katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Catherin Semuhando baada ya kujivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika leo Februari 13, 2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa Maadhimisho ya Miaka 43 ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika leo Februari 13, 2020 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa comment