Makamuzi Ya Mapacha Watatu Si Mchezo
Bendi ya Mapacha Watatu Music Band chini ya Jose Mara usiku wa kuamkia leo ilifanya makamuzi kwenye ukumbi wa Safari Pub, Mtoni Kijichi jijini Dar. Katika onesho hilo Bendi hiyo ilifanya makamuzi ya nguvu ambapo leo Jumamosi itafanya makamuzi Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori jijini Dar.
PICHA: RICHARD BUKOS/ GPL
Comments are closed.