The House of Favourite Newspapers

Makamuzi ya Twanga Pepeta Usiku wa Kuamkia Leo ni Sheeda

Jojoo Jumanne akimchagiza Luiza Nyoni kwa gitaa.

Bendi  ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kuamkia leo ilifanya makamuzi kwenye Baa ya Brazil iliyopo Tegeta Kibo jijini Dar.

 

Jojoo Jumanne akicharaza gitaa huku akicheka, kulia ni Fasha Joshua akifanya yake.

Katika onesho hilo wakongwe Ally Choki, Luiza Nyoni na Msafiri Diouf waliliongoza vyema kundi hilo huku Super Nyamwela nae akiongoza safu ya Unenguaji. Shuhudia Picha hizi.

Luiza Nyoni (katikati) akifanya makamuzi na wenzake.

 

Mpiga Solo Jojoo Jumanne akifanya yake

 

Msafiri Diouf (kulia) akiwajibika jukwaani.

 

Nyamwela kushoto na Dogo White wakionesha maufundi.

 

Nyamwela na Luiza Nyoni wakiwajibika.

 

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Full Video Harusi ya Shilole na Uchebe Masaki Dar

Comments are closed.