The House of Favourite Newspapers

“Makonda na Standard Gauge / Akili Fupi Tu / Magufuli Mhm” – DUDU BAYA -VIDEO

Msanii wa Bongo Fleva, Dudu Baya, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Paul Makonda, kwa kuandaa ziara iiliyowashirikisha wasanii wa aina zote ya kutembelea na kukagua Mradi wa reli ya Mwendokasi ya Standard Gauge ili kujionea kazi ambazo zinafanywa na serikali yao chini ya Rais Dkt John Magufuli.

Dudu Baya amesema watu wanaoponda jitihada za serikali wana akili fupi kwani ndani ya muda mfupi Rais Magufuli ameweza kuiletea nchi maendeleo yasiyopimika.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.