The House of Favourite Newspapers

Makundi Ya Kombe la Shirikisho, Yanga Yapangwa Kundi D

Timu ya Yanga tayari wamepangwa kundi D kwenye Kombe la Shirikisho tayari kwa mechi ya kwanza Jumapili ya Mei 6, mwaka huu.  Yanga wamepangwa na Rayon Sports (Rwanda), U.S.M Algeria (Algeria), Gor Mahia FC (Kenya).

Yanga imefika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho baada ya kuitoa Wolaitta Dicha ya Ethiopia kwa jumla ya mabao 2-1, wakishinda nyumbani mabao 2-0 na kufungwa ugenini bao 1-0.

 

Comments are closed.