MALI ZA YUSUF MANJI HATARINI KUFILISIWA

MALI za mfanyabiashara Yusuf Manji zipo hatarini kufilisiwa kutokana na madeni makubwa anayodaiwa na Benki ya Biashara na Maendeleo Afrika Mashariki na Kusini. David Tarimo na Nelson Msuya wameteuliwa na benki hiyo kukusanya madeni, na ikishindikana mali hizo zitapigwa mnada.

Toa comment