Malkia Karen Afunguka “Kabla Baba Hajafariki Nesi Alinizuia Nisiondoke Hospitali Niliumwa” – Video
MALKIA Karen ni msanii mwingine mkali wa kike kunako Bongo Fleva amefunguka kupitia kupitia kipindi cha Funky Friday kuwa licha ya baba yake, Gardner Habash kutangulia mbele za haki, bado ana uhusiano mzuri na aliyekuwa mkewe, Judith Wambura almaarufu Lady Jaydee.
Ameongeza kuwa bado wapo karibu kama ilivyokuwa awali na anamuonesha mapenzi ya mama na mtoto kama zamani.
Pia ameongeza gharama na masharti ya msanii anayetakiwa kushirikishwa ni miongoni mwa sababu zilizomfanya achelewe kuwasilisha kazi alizofanya wasanii wa kike.