Mama Afunguka Freemason na Kifo cha Seth, Amvaa Baba Kanumba – Video
IKIWA ni ni takribani wiki mbili zimepita tangu aliyekuwa mdogo wa marehemu Steven Kanumba, anayeitwa Seth Bosco, afariki dunia na kuzikwa jijini Dar es Salaam, Global TV Online imemtembelea mama Kanumba, nyumbani kwake kumjulia hali yake pamoja na kuzungumza naye.

