The House of Favourite Newspapers

Mama atia ngumu Lulu kuondoka nyumbani

0

mamaluluIMELDA MTEMA

Marufuku! Mama mzazi wa staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametia ngumu mwanaye huyo kuondoka nyumbani kwake na kwenda kuishi peke yake kwa kuwa bado anahitaji zaidi kufuata maadili yake.

LulumichaelMama Lulu aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, hawezi kumruhusu Lulu kwenda kupanga na kuishi peke yake wakati bado ni mdogo na kwamba bado anahitaji aishi katika maadili ya mzazi.

Leave A Reply